Jumanne, 12 Novemba 2013

Je,Wajua sababu ya kuanguka,kuzimia na hata kufa baada ya kujisaidia?-Vasovagal Syncope

http://tanzanianews.blogspot.com

 
Baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza ni kwa nini inatokea mara nyingi mtu akiwa uani, msalani, chooni au bafuni, punde tu anapomaliza kukojoa, ghafla huona kama mwanga mweusi na nyota na kisha kuanguka, akazimia au wengine kuaga dunia kabisa. Kwa lugha ya Kiingereza husema, 'micturition syncope' yaani kuzimia baada ya kukojoa.

Baadhi ya watu kwa kukosa majibu yenye ufafanuzi wa kitaalamu ili kuondoa tashwishi, wameangukia katika kuamini kuwa hali hii inahusiana moja kwa moja na ulozi/uchawi/ushirikina ama kupitiwa na jini/shetani. Kama ilivyo kwa ukatili dhidi ya
albino na mauaji ya vikongwe, ujinga wa kukosa maarifa sahihi kuhusu jambo husika huchangia sana katika kuwasukuma baadhi ya watu kuchukua hatua zenye madhara kwa walengwa.

Kwenye suala la kuanguka punde tu baada ya kwenda haja kubwa ama ndogo, kwa kufuatana na utaalamu wa kisayansi katika baiolojia, halii hii hutokana na mabadiliko ya fiziolojia kwenye shinikizo la damu na mishipa ya fahamu, kitaalamu ni "vasovagal syncope" ambayo husababisha mtu apate kizunguzungu cha ghafla, apoteze fahamu na/au kufariki kulinga na ukubwa wa mshituko alioupata na uwezo wa viungo vya ndani ya mwili kustahimili kishindo hicho.

Daktari mtaalamu katika kituo cha afya cha Mayo Clinic, anaeleza kwa ufasaha kidogo akijibu swali:-

OUESTION: Fainting during urination (micturition syncope): What causes it?

Last week, my husband fainted while urinating. His doctor said he might have micturition syncope. What causes this, and what can he do about it?

ANSWER from Phillip A. Low, M.D:  Micturition (or post-micturition) syncope is fainting during or, more commonly, immediately after urination due to a severe drop in blood pressure. Micturition syncope is most common in older men and usually occurs at night after a deep sleep.

The exact cause of micturition syncope isn't fully understood. But it may be related to opening (vasodilation) of the blood vessels that occurs when getting up and standing at the toilet or that occurs at the rapid emptying of a full bladder. This is thought to result in a sudden drop in blood pressure.

Other factors that may play a role in micturition syncope include:
  • Alcohol
  • Hunger
  • Fatigue
  • Dehydration
  • Medical conditions, such as a respiratory infection
  • Use of alpha blocker medicines to improve urination in men with prostate problems

Preventing micturition syncope

Micturition syncope is uncommon and should be evaluated by a doctor because it may indicate an underlying medical condition. Prevention of micturition syncope depends on recognizing the factors that contribute to micturition syncope and avoiding them. Some strategies you might suggest to your husband to avoid micturition syncope and possible resulting injury are:
  • Avoid excessive drinking of alcohol
  • Don't get out of bed suddenly — first, sit on the edge of the bed and move your legs, making sure you are not dizzy or lightheaded
  • Urinate sitting down
  • Ask your doctor whether any medications you're taking may be causing your condition

As much as possible, ensuring the floor from your bed to the bathroom is carpeted or padded is also a good strategy for avoiding injury from a potential fall.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni