MWANAUME WA KWANZA KUJIBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE, AFUNGUKA MAKUBWA........MUONE HAPA
Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.
Amekuwa
akiendesha maisha yake kwa kupitia shughuli za Urembo, ameridhika na
hali aliyokuwa nayo sasa na anaomba watu wamkubali kama alivyo.

Jana
kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile
alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa
ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru.Tanzanianewz.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni