Ndege aina ya Boeing 737 baada kulipuka.Mabaki ya ndege ya Boeing 737.
Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana nje ya uwanja wa Kazan airport.
Watu
50 waliokuwa katika ndege aina ya Boeing 737 wamepoteza maisha baada
ya ndege hiyo kulipuka wakati ikijaribu kutua jijini Kazan, Urusi
ikitokea Moscow!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni