Jumanne, 12 Novemba 2013

TAARIFA YA DHARURA JUU YA KIFO CHA DR SENGONDO MVUNGI

 http://tanzanianewz.blogspot.com
Ni jana tu ambapo Waziri wa mambo ya ndani Dr. Emmanuel Nchimbi alitangaza kushikiliwa kwa watu tisa wanaotuhumiwa kuhusika na ujambazi uliofanywa dhidi ya Dr. Sengondo Mvungi aliekua mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Mpya na kiongozi wa NCCR-Mageuz. 


Inauma sana!!! Taifa letu tuzidi kuliombea sana na tusikate tamaa!!!

Mungu ampokee na amweke pema!!!...R.I.P 

TUTAZIDI KUKUPA UPDATES ZAIDI BAADAE ENDELEA KUWA NASI MDAU...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni