Picha nyingine za mpenzi wa Paul Walker alipoonekana kwa mara ya kwanza toka kutokea kifo.
Girlfriend
wa muda mrefu wa mwigizaji Paul Walker aliefariki kwenye ajali ya gari,
ameonekana kwa mara ya kwanza toka kitokee kifo cha mwigizaji huyu
aliefariki November 30 2013 California, U.S.
Girlfriend wake aitwae Jasmine Pilchard-Gosnell alionekana akiwa mnyonge na anaetokwa machozi mara kwa mara baada ya kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka kifo cha Paul kitokee ambapo unazoziona hapo juu ni picha za kwanza alizopigwa toka kifo cha Paul aliefariki akiwa na umri wa miaka 40 huku girlfriend wake akiwa na 23.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni