Jumatatu, 2 Desemba 2013

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo December 02 2013

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo December 02 2013

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Jumapili, 1 Desemba 2013

Mkongwe wa Muziki wa bolingo Nchini CONGO 'Tabu Ley' Afariki Dunia Leo Asubuhi..!!

Habari: Mkongwe wa Muziki wa bolingo Nchini CONGO 'Tabu Ley' Afariki Dunia Leo Asubuhi..!!


Mwanamuziki mkongwe wa Congo, Pascal Tabu Ley Rochereau amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa katika hospitali ya nchini Ubelgiji.
 

Kwa mujibu wa mwanae Charles Tabu, aliyeongea na Radio Okapi, Tabu Ley amefariki kwa kiharusi na Kisukari.
Naye Nyboma Mwandido, mwanamuziki mwenzie aishiye jijini Paris, Ufaransa amethibitisha kifo cha msanii huyo kilichotokea leo Jumamosi saa 2 asubuhi Brussels. Tabu Ley alikuwa mgonjwa mahututi kwenye hospitali hiyo kutokana na kusumbuliwa na kiharusi alichokipata mwaka 2008.
Kiharusi (stroke) kilimfanya awe kwenye kiti cha walemavu tangu muda huo. Pamoja na muziki, Tabu Ley aliwahi kuteuliwa kuwa waziri na Rais Laurent Kabila mwaka 1997 na baadaye kuwa mbunge.

Awali, msanii huyo wa Rhumba aliyekataa kuwa mshairi wa Rais Mobutu Sese Seko alilazimika kuikimbia nchi hiyo.
Miaka ya mwishoni alikuwa akiishi Paris, Ufaransa akipata matibabu kabla ya hivi karibuni kupelekwa Ubelgiji kupata matibabu maalum. Katika miaka 46 ya muziki, Tabu Ley ameshaandika zaidi ya nyimbo 3,000 na kuuza maelfu ya nyimbo.

Read more: http://tanzanianewz.blogspot.com

YALIYOJILI BAADA YA KIFO CHA Paul Walker Muigizaji maarufu wa Filamu ya Fast and Furious!


 Tanzia

DEATH OF Paul Walker, "The Fast and the Furious actor died in a car accident "...CHECK VIDEO AND PICTURES HERE

It has been reported and confirmed that the "Fast and the Furious" actor Paul Walker died on Saturday( yesterday) in a car accident when his friend lost control of a Porsche GT and crashed on a telephone pole. The death has been confirmed by the celebrity representative and his official facebook page.


 

The 40 year old famous actor was traveling back home after attending an event for his charity, Reach Out Worldwide when his life came to a sudden stop. Their car collided on a telephone pole and the car caught fire leading to his death.

The Las Angeles county police confirmed the death of two people in the accident but did not know the names of the victims. Representatives of the star confirmed that Paul Walker was one of the people who died in the accident.


This is what was written of his official facebook page to inform his fans" It is with a truly heavy heart that we confirm that Paul Walker passed away today in a tragic car accident while attending a charity event for his organization Reach Out Worldwide He was a passenger in a friend's car in which both lives were lost. We appreciate your patience as we are too stunned and saddened beyond belief by this news Thank you fr keeping family and friends in your prayers during this very difficult time".

Paul Walker was an investor in an auto shop in Valencia 'the Always Evolving' and was always in the area for a car wash support the Philippines Typhoon relief effort. The actor's last movie was Fast and the Furiuos 6 which was released this month. 


He became famous in 1999 after starring a hit film 'The Varsity Blues' . He was currently in preparation of the 'Fast and the Furious 7'



View photos and a video of the scene following Paul Walker's fatal car accident.
 
May the Almighty God rest his soul in inTanziaternal peace

Hivi ndivyo Emmanuel Msuya alivochukua Milioni 50 za Ebss 2013


Burudani » Hivi ndivyo Emmanuel Msuya alivochukua Milioni 50 za Ebss

Hivi ndivyo Emmanuel Msuya alivochukua Milioni 50 za Ebss


DSC_0110Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika alfajiri hii kwenye ukumbi wa Escape 1.
DSC_0068Mashindano haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Barnaba,Makomando,Young Killer,water chilambo,Shaa,Kimbunga na Snura.
Katika mashindano haya ambayo yalikua na jumla ya washiriki watano  ambao ni Amina Chibaba,Elizabeth Mwakijambile,Emmanuel Msuya,Maina Thadei na Melisa John,ambao walipita kwa round tatu kisha majaji kuwapunguza watatu na kisha kubakia Emanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile katika Round ya 4 na ya mwisho.

DSC_0098
Katika round ya mwisho,Emmanuel Msuya ameibuka kidedea na kuwa Mshindi wa Epiq Bongo Star Search 2013,akiwa ni mshiriki anaetokea Jijini Mwanza na kumpokea taji water chilambo ambae alikua mshindi wa mwaka jana.
DSC_0141Zawadi kwa mshindi wa mwaka huu ni Milion hamsini(50)ambayo kakabidhiwa jukwaani.
Posted by Tanzanianewz.blogspot.com

Magazeti ya leo Jumapili December 01 2013

Magazeti ya leo Jumapili December 01 2013

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.